WIZ KHALIFA BABA, AMBER ROSE MAMA
Amber Rose, mpenzi wa Wiz Khalifa, ameweka picha
katika
Mtandao wa Tweeter ambayo inamuonesha Wiz akiwa
amembeba
Mototo wao mwenye jina la Sebastian, picha
inamuonesha Wiz
Kuwa anampenda sana Mtoto wake.
Rose, ameandika katika tweeter” Best Daddy ever…up
with the
Baby so muva can go back to sleep” hayo yalisemwa na
Rose, pia
Mototo huyo alizariwa siku ya jumanne mida ya saa 8,
huyu ni
Mototo wa kwanza kwao.

0 maoni:
Post a Comment