Msanii wa hip hop, nchini Marekani, 50 Cent, ambaye
yuko katika utata mkubwa kati yake na aliyekuwa mpenzi wake ambaye hivi
karibuni amejifungua mtoto, na inasemekana ni mtoto wa 50 Cent.
Ushaidi wa cheti cha mtoto kinaonesha jina la mama,
lakini jina la Baba halipo katika cheti hicho, hapo inaonesha kuwa inawezekana
mtoto huyo siyo wa 50 cent, au mama huyo hataki kuweka wazi Baba wa mtoto huyo.
0 maoni:
Post a Comment