Leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,
Timu ya taifa ya Tanzania itachuana vikali na Timu ya Taifa ya Uganda katika
uwanja wa taifa, Mchezo huo ni wakutafuta tiketi ya Kushiriki michuano ya
mataifa huru ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza kwenye ligi za ndani.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment