Wafuasi wa rais wa Misri aliyeondolewa madarakani
Mohammed Morsi wamefanya maandamano makubwa mjini Cairo, huku waumini wa dini
ya Kiislamu wakiadhimsiha Ijumaa ya kwanza tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa
Ramadan.
Wafuasi wa Morsi walijikusanya katika maeneo ya
mashariki mwa mji wa Cairo, kushindikiza utawala wa kijeshi kuondoka na
kumrejesha madarakani kiongozi huyo.
0 maoni:
Post a Comment