Shughuli katika uwanja wa ndege wa Heathrow
zimekwama kwa muda baada ya ndege moja ya shirika la ndege la Ethiopia aina ya
Boeing 787 Dreamliner kushika moto.
Safari zote katika uwanja huo zilisitishwa mida ya
saa kumi, kwa mujibu wa msemaji mkuu wa uwanja huo wa ndege, pia ni kwamba
wakati tukio hilo linatokea la kuwaka moto ndani ya ndege hakukuwa na Abiria.
0 maoni:
Post a Comment