Msanii wa Bongo Move, Aunt Ezekiel, anataraijia
kuachia wimbo wake wa kwanza ambao amempa shavu Linex, wimbo huo umefanyiwa
katika studio ya Seductive Records, chini ya Mr.T Touch.
Hii inafanya wasanii wengi wa Filam nchini Kuingia
katika fani wa Kuimba muziki, Linex, amesema kuwa amempa kampani kubwa msanii
huyo wa kike katika michano ya Bongo Fleva hapa nchini.
0 maoni:
Post a Comment