Mwimbaji wa muziki wa R & B, Boby Brown,
amesikitishwa na kitendo cha Bint yake Bobbi, Kuchumbiwa na Kaka yake ambaye ni
mtoto wa Hiyali wa Whitney.
Watu wengi wamewatupia lawama wapenzi hao kuwa
kitendo cha wao kuchumbiana hakikuwa kitendo kizuri kwao, hivyo kwa malezi haliyopewa
Nick, alipaswa kumuheshimu Kristina kama Dada yake mzazi.
Baba yake msichana huyo amejisikia vibaya kwa
kitendo hicho cha binti yake kuchumbiwa na kaka yake, alijibu hivyo
alipofanyiwa mahojiano na moja ya mitandao mikubwa duniani TMZ.com.
Brown, amemtaka binti yake aw na furaha na maisha
yake ingawa binti huyo amekuwa hana mausiano mema na baba yake kwa muda mrefu
bila ya kuongea.
0 maoni:
Post a Comment