Mshiriki wa Big Brother Africa, Selly, ameyaaga
mashindano hayo hivi karibu mara baada ya mwakilishi kutoka nchini Tanzania,
Ammy Nando, kuambukizwa gonjwa la ngono na msichana huyo.
Ammy amechukizwa na kitendo cha Selly , kumfanya
afanye mapenzi bila ya kuvaa condom, kutokana na msichana huyo kukataa kutumia
zana hiyo na kumfanya jamaa kucheza mechi bila soksi, na kumuambukiza [S.T.D].
Ammy, aliwapasha wenzake kuwa anamchukia sana Malaya
huyo, Namchukia sana Malaya huyo kwa sababu amenipa gonjwa la ngono, ndiyo
maana mapigo ya moyo yalikuwa juu sana, alikuwa akimwambia mshiliki mwenzake,
maneno hayo.
Hakuna ushaidi kuwa Ndona, alipewa ugonjwa huo na Selly,
ingawaje madaktari wanaenelea na matibabu.
Mama mzazi wa msichana huyo Selly, amefunguka na
kusema kuwa Ammy , atakuwa ametumia Juju kumpata mwanae kutokana na kumlea
kwenye maadili mema, pia walikuwa na mausiano na mpenzi wake Tiatia, kwa muda wa
miaka 8, sasa haikuwa kitu raisi kwa Binti yangu kufanya hivyo, hayo yalisemwa
na mama yake Selly katika Radio, nchini Ghana.
0 maoni:
Post a Comment