Msanii wa R&B, Nchini Marekani, R-Kelly, anatalajiwa
kushuka nchini Tanzania, mnamo mwaka 2014, katika bambino la Ngumi, litakalo
mkutanisha bondia wa Zamani “ Evander Holyfield na Botha wa Afrika Kusini, hayo ni kutokana na Promota
Jay Msangi, wa Hall of Fame Boxing,
Msanii huyo yuko katika hatua za mwisho za
kukamilisha mpango huo wa kudondoka nchini, Mpambano wa Ngumi utakuwa
kati ya Evander na Botha, wawili hao wameshatia saini na R-Kelly yuko katika
hatua za mwisho.
Mchezo huo utafanyika katika kiwanja cha Taifa hapo
mwakani 2014, pia mwenzi wa 8, Bondia wa Afrika Kusini, Botha, atadondoka
nchini Tanzania ili kufanya uhamasishaj wa Pambano hilo.
0 maoni:
Post a Comment