Mcheza masumbwi mkubwa wa nchini Marekani, Evander,
kuzichapa katika pambano litakolo chezwa katika kiwanja cha Taifa jijini Dar es
salaam, hayo yamethibitishwa na
Rais wa WBF, Kuwa ni kweli Bondia huyo
atazichapa nchini Tanzania.
Mabondia hao tayari wameshasaini mkataba wa
kuzichapa mapema sana hapo mwakani, sehemu ya mapata yatakayo patikana moja kwa
moja yatachangia mfuko wa kupambana na ugonjwa hatari wa malaria.
0 maoni:
Post a Comment