Msanii wa Hip Hop, nchini Marekani JayZ, ametembelea
makao makuu ya Mtandao wa Facebook, yenye makao makuu mjini California,
Marekani.
Msanii huyo alipata nafasi ya kuongea na CEO, na
baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, Mark
Zuckerberg, kabla ya kuelekea katika Tour yake ya San Fransico.
0 maoni:
Post a Comment