MSANII WA Hip Hop, nchini Marekan, Shawn Carter,
mume wa mwanamuzi Beyonce, amewataka wachapishaji wa Majarida na waandishi wote
Duniani kuwa sasa jina lake la muziki ambalo lilikuwa likiandikwa Jay-Z, kwa
sasa anataka liandikwe JayZ.
Jayz, wa Rock Nation amewataka waandishi wote watumie jina hilo kwa kipindichi chote ili wasitumie tena alama (-) katika jina lake, mabadiliko hayo yameshaanza kutumika katika Albam yake mpya ya
0 maoni:
Post a Comment