Mkutano Mkuu wa Simba, uliofanyika katika wa Police
Officers Mess Osteybay, jijini Dar es salaam, ambao uliudhuriwa na wanachama
wapatao 700.
Mkutano huo ulikuwa na mambo mengi ikiwemo taarifa
juu ya ujenzi wa Uwanja wa Timu hiyo sambamba na matumizi ya pesa.
Rage, akizungumza mbele ya wapenzi na wanachama wa timu ya Simba leo hii katika viwanja vya Polic Mess, jijini Dar es salaam |
Hawa ni baadhi ya wanachama wa timu ya Simba, wakiwa katika Kikao |
0 maoni:
Post a Comment