Msanii wa Hip Hop, M2The P, amefunguka na kuongea
mengi kuhusu kifo cha Rafiki yake Mangwea, waliokuwa wote nchini Afrika Kusini
mpaka umauti kumfika akiwa huko nchini, leo kupitia kipindi cha XXL, Cha Radio
Clouds- fm, ameweza kuitambulisha nyimb yake mpya kwa mara ya kwanza katika
Radio hiyo.
Msanii huyo alishindwa kujibu maswali yote kuusu
kifo cha Mangwea, na kuwataka watangazaji wa kipindi hicho cha XXL, Kubadili
maswali yao, walipomtaka afunguke kuzungumzia mada ya Madawa kama watu wengi
wanavyosema, alijibu kuwa madawa siku zote hutoka Tanzania, kwenda Afrika
Kusini lakini siyo kama wanavyosema wabongo wengi, hayo yalijibiwa na M2The P.
Pia alimalizia kwa kusema kuwa yuko njiani kusema
yote yaliyotokea katika kif cha Ngwea, siku za karibuni.
0 maoni:
Post a Comment