Muigizaji wa Filam nchini Tanzania” Mzee Magali, ameamua
kuingia katika muziki wa Bongo fleva, nyimbo hiyo inasubiriwa na watu wengi
hasa wapenzi wa Bongo Move, kutokana na Mzee huyo kuwa na mvuto katika tasnia
ya Filam nchini.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment