Mchezaji wa mpira wa kikapu STEPHEN CURRY, wa nchini
marekani amedondoka nchini Tanzania, kesho mapema kabisa atawasili katika
viwanja vya Don Bosco-Oysterbay, jijini DSM, katika Clinic maalumu ambayo
itafanyika hapo kesho kuanzia mida ya tatu asubuhi mpaka saa 9 jioni.
Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa kikapu
Tanzania, [TBF] Amesema kuwa mchezaji huyo wa timu ya Golden State Warriors,
amekuja nchini kupitia mpango wa Malaria.
0 maoni:
Post a Comment