Uongozi wa Akiba Commercial Benk, leo hii
umewafuturisha wateja wao katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza,
iliyopo jijini Dar es saalam.
Futari hiyo ilifuatiwa na Dua kutoka kwa Shekhe
Abdallah Mohamed, kutoka ACB, pia na Hotuba fupi iliyosomwa na mkurugenzi wa
Benk hiyo, katika Hotuba hiyo walizungumzia mambo mengi likiwemo la kufungua
Tawi jipya mkoani Mwanza na kuanzisha huduma za kibenk kupitia Simu za Mkononi.Na mwishowe alimalizia mkurugezi mkuu wa Benk
hiyo kwa maneno mafupi.
wamama wakichukulia chakula
wateja wa ACB, wakielekea kwenye Futari
wateja wa ACB, wakipata Futari
Huyu ni rama mweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a.k.a mweraamazing
Hayu ni mteja wa ACB, baada ya mumalizika kwa Tutafiri.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment