Mamia ya waandamanaji wamekusanyika
kwa usiku wa tatu mfululizo, kwenye mji wa Charlotte Marekani kufuatia
kuuawa kwa mtu mweusi akiwa mikononi mwa polisi.
Polisi wameionyesha familia ya marehemu video, hiyo lakini wakasema kuwa hawataitoa kwa umma.
Mkuu wa polisi katika mji wa Charlotte anasema video hiyo haionyeshi kuwa Keith Lamont Scott alikuwa na bunduki mkononi wakati aliuawa.
Familia yake nayo inasema kwa ni vigumu kutambua alichokuwa nacho mkononi wakati huo
kutoka BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment