Ostaz Juma na Musoma, ambaye ni mmiliki wa Lebo ya
Watanashati Entertainment, amefanya ngoma ya Hip Hop, ambayo amemshirikisha
Young Killer.
Ostaz, alisema kuwa nyimbo hiyo ameifanyika mjini
Mwanza katika Studio ya K-Records, aliyasema hayo walipofanyiwa mahojiano na
mtandao wa Bongo5.
Aliesema kuwa haikuwa kazi nyepesi kuimba kama
halivyofikili, pia amekili kufunikwa na Young Killer katika nyimbo hiyo,
amewataka wasanii wa Hip Hop, wakae vizuri kwani yupo kikazi zaidi.
0 maoni:
Post a Comment