Msanii wa nchini kwnye Prezzo, amefunguka na kusema
hatoweza kumuomba msamaa Diamond katika ukurasa wake wa Tweeter, kwa kuwa
hakuna jambo baya alilomfanyia Diamond, kwanza ni utoto kujibizana kwenye
Tweeter.
Prezzo, amesema kuwa Diamond, ndiye aliyeyataka
mambo haya kutokea, aliyasema hayo kupitia Radio Citizen, aliendelea kusema
kuwa “ mimi sipendi kuwa na uadui kwa sababu muziki, unafaa kuleta muungano,
mimi nimeshangazwa mbona huyu Brother, ananiingilia na huku sikumbuki kumkosea
wala hatujawai kukutana ana kawa ana” hayo yalisemwa na Prezzo, katika
mahojiano na Radio hiyo.
Mwana Hip Hop huyo
alisema kuwa alimpigia simu Diamond, lakini hakupokea na ndiyo maana akaamua
kudiss kupitia Tweeter, Prezzo, amesema kuwa hatoweza kumuomba msamaa kupitia
Tweeter kama Diamond anavyotaka afany
0 maoni:
Post a Comment