Msanii wa muziki hapa nchini Ray C, ametanza kuwa
yuko mbioni kuja na ujio mpya mara baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu bila
kuachia ngoma, ameyasema hayo katika mtandao wa kijamii.
Ray C, aliyasema hayo kupitia Instagram, huko
aliwapasha mashabiki wake juu ya ujio wake mpya mwenzi wa nane “ For sure its
about time nw nimewapa muda sana watoto sasa mdada is coming back”
hayo yaliandikwa na Ray C, katika Acount yake ya mtandao huo.
RAY C, Kipindi hicho, na sasa is back again katika Game, ujumbe wake ni kwamba wasani wakae mkao mzuri, tena kwa watoto. |
0 maoni:
Post a Comment