MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

R.I.P


GLEE STAR, AMEAGA DUNIA.
Cory Monteith, ameaga Dunia, akiwa na umri wa miaka 31, kwa mujibu wa polisi wamesema kuwa muigizaji huyo alikutwa amepoteza maisha katika chumba alichofikia katika Hotel ya Fairmont Pacific Rim, mida ya mchana.
Hii ndiyo Hotel aliyofia Glee
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment