Mabosi wa Hospital ya Cedars Sinai Medical Center, wamewafukuza kazi wafanyakazi 6, kutokana na
tuhuma ya kutoa taarifa ya kujifungua kwa star Kim Kardashian hivi karibuni
katika Hospitali hiyo.
Kim alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa 14, ambao
walivujishiwa taarifa zao za matibabu hospitali humo, kupitia wafanyakazi hao.
Kim alitoka Hospitalini humo mara baada ya siri zake
kutoka na kusambaa katika mitandao mingi ya kijamii, watu wa karibu na Kim wamesema
kuwa kim ahakutaka taarifa zake zitoke, hivyo basi kutakuwa na uzembe
ulijitokeza katika Hospitali hiyo,
waliendelea kusema kuwa kitendo hicho hakikuwa cha kiungwana.
0 maoni:
Post a Comment