Mshiriki wa BBA, Dillish Methews, kutoka nchini
Namibia ndiye mshindi wa mashindano hayo ambaye ameibuka na kitita cha $
300,000, zilizokuwa zinawaniwa na washiriki 28 kutoka mataifa 14 ya Afrika
ikiwemo Tanzania. Ambayo ilikuwa na washiriki wawili.
Mshiriki huyo aliwapiga chini washindani wenzake kwa
kuibuka na kura nyingi kuliko wote walioingia katika tano bora, kitu tofauti
kabisa katika mshindano hayo mwaka huu ni kwamba mshindi wa kwanza mpaka wa
pili zimeshikwa na wanawake tu.
Kura nyingi katika fainali hiyo zilipigwa na wa watu
wa Afrika mashariki sambamba na Namibia wenyewe, ikiwemo Tanzania. Katika kumpandisha
mshirik huyo ambaye ni kutoka nchini Namibia.
0 maoni:
Post a Comment