XCLUSIVE :Msanii wa muziki wa Bongo Fleva,DEE SALA, aliyekuwa
anaimba miondoko ya Hip Hop, kwa sasa amegeukia katika midundo ya R & B,
kwa sasa msanii huyo amekuja na ngoma ya NAKUPENDAGA, alifunguka na kusema kuwa kwa sasa ameamua
kufanya muziki wa Biashara zaidi lakini hajaitenga Hip Hop, ila anatazama Game,
inakwendaje pia na mashabiki wake walimtka afanye hivyo.
Ngoma hiyo mpya ya DEE SALA, imefanyika katika
studio ya Seductive Records chini ya Producer Mr T Touchez, anayefanya poa
zaidi katika Game kwa sasa, aliendelea kusema kuwa “ Ngoma yangu soon itakuwa
hewani katika media mbalimbali nchini laikini kufanya Ngoma hii mpya kwa
Midundo ya R&B, simahanishi kuwa nimeutupa mziki wa Hip Hop, No, Hip Hop
ndiyo maisha yangu pia naheshimu sana midundo hiyo pia naendelea kufanya
kotekote” hayo yalikuwa maneno ya DEE SALA, alipofanyiwa mahojiano na kituo
chetu leo hii.
Dee Sala, |
0 maoni:
Post a Comment