Msanii wa Hip Hop, nchini, Inspector Haroun, ameelezea kuhusu shavu alilopata la kuwa Balozi wa TEHAMA, Kupitia kipindi cha Burudani Kitaa, kinachoandaliwa na Michael Lukindo, ambaye ni mtangazaji wa East Africa Radio. Na kurushwa online, hayo yalisemwa na msanii huyo.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment