MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JUSTIN BIEBER, ANAZIDI KUZIDIWA NA UGONJWA

0829_justin_bieber_instagram
Justin Bieber, anazidi kuzidiwa na ugonjwa wa kutopenda kuvaa nguo ya juu yani shati, msanii huyo ambaye amewaambukiza mpaka rafiki zake wa karibu hii tabia na jana aliweka katika Instagram, picha ya yeye akiwa na rafiki zake huku wakiwa Tumbo wazi.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment