Kumbe Diamond ni mshabiki mkubwa wa rapper mdogo
nchini Young Killer, mpenz wa Diamond pamoja na Diamond mwenyewe wamefunguka na
kusema kuwa wanavutiwa na Msanii wa Hip Hop , Young Killer, hayo yamesemwa na
wapenzi hao mara baada ya Penny, kuiyambia Bongo 5.
Mtandao wa Bongo5, Walimuhoji juu ya kutajwa kwake na msanii huyo katika nyimbo hiyo ya Mrs Superstar, lakini alifunguka na kusema kuwa yeye na Mpenzi wake Diamond ni mashabiki wakubwa wa Rapper huyo mwenye umri mdogo lakini mambo makubwa.
0 maoni:
Post a Comment