Madam Rita Paulsen, amefunguka na kusema kuwa hana
mpango wa kumshtaki msanii wa Hip Hop, Nay wa mitego, kufuatia msanii huyo
kufuatia wimbo wa salam zao.
Madam, alifunguka hayo kupitia U Heard ya Clouds Fm.
Alisema kuwa hajafungua kesi yoyote kuusu msanii ingawaje alizusha kuwa
washindi wa BSS, huwa hawapewi pesa yote.
Rita aliendelea kusema kuwa Nay ni msanii mbunifu
sana kwa kutoa wimbo wenye ngumzo kubwa sana Jijini na nchi nzima, kutokana na
hilo amedai kuwa atampa shavu la kutumbuiza katika stage ya BSS.
0 maoni:
Post a Comment