Aliyewahi kuwa Miss Afrika, inasemekana ameuawa na
Mpenzi wake kwa kumchoma kisu, kutokana na ugomvi ulijitokeza kati yake na X
Mpenzi wake ambaye ni Baba wa mwanae.
Cha kusikitisha ni kwamba Mtoto wake ambaye ana umri
wa miaka mitatu alishuhudia kifo cha mama yake kilichosababishwa na Baba yake
mzazi, huko nchini Uingereza mjini London siku ya jumatano ya wiki hii –July
31,2013.
Jamaa huyo ambaye alijulikana kwa jina laPromota au
David Kikawa, 38 alijipeleka mwenyewe Polisi na kwa kufanya kitendo hich cha
mauaji, hivi sasa bado anashikiriwa na polisi nchini humo.
Huyu ndiye Mtoto wa Keza |
0 maoni:
Post a Comment