MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

NAY WA MITEGO AMEWADISS WASANII WENZAKE...NA ZITTO NDANI YA NYUMBA.



Msanii wa Hip Hop, nchin Tanzania, Nay wa Mitego, amewadisi wasanii wengine kupitia Ngoma yake Mpya ya Salam Zao, katika nyimbo hiyo mpya msanii huyo amemdiss mpaka Mwana siasa mkubwa nchini sambamba na wasanii wa Hip Hop wenzie.
Msanii huyo alijitamba na kwaponda wasanii wenzake kama vile Madee kwa kumbambia yeye siyo Rais bali yeye ndiye Rais wa Manzese, hakuishia hapo akaendelea kwa kujiita yeye ndiye Gengster rapper, na kumbambia Mchovu awape salam kundi la Weusi kuwa mziki umebadilika watakufa na njaa.

Sambamba na kumdiss Mbunge wa kigoma Bwana Zitto Kabwe, katika kipande cha nyimbo hiyo kilichomtaka Diamond, AMWAMBIE Mbunge huyo,   Word Up Diamond, mwanangu wewe si motto wa kigoma, mpe salam Zitto Kabwe, mwambie afanye siasa aachane na Bongo Fleva, huku hatumtaki kabisa maneno mengi Propaganda hajui kutekeleza , Kigoma All star tayari kawatekelekeza, hicho ni kipande kidogo tu kutoka kwa m sanii huyo wa Hip Hop nchini Tanzania 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment