Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA,imeifungulia vituo vya Radio Imani Fm, na kwa Neema Fm Radio, ya mjini Mwanza, Radio hizo zilifungiwa kwa kipindi cha miezi sita iliyopita kutokana na kwenda kinyume na kanunu za utangazaji nchini.
Taarifa hiyo imetolewa leo na TCRA, Kupitia Vyombo
vya Habari.
0 maoni:
Post a Comment