Ligi kuu ya Nigeria
imesaini mkataba wa miaka nne na kituo cha Televisheni cha Supersport, mkataba
huo umegharimu kitita cha $ 34 milioni.
Mkataba huo
ulisainiwa katika ofisi za kituo hicho zilizoko nchi humo, Makubaliano hayo
bado hajathibitishwa rasmi na Supersports lakini kwa mujibu wa vyombo vya
habari vya Nigeria ni suala la muda tu kabla dili hilo halijatangazwa rasmi
kwenye vyombo vya habari.mkataba huo utatumika kuanzia msimu wa 2015-16.
0 maoni:
Post a Comment