T.I, amefunguka na kusema kuwa ukimtoa JayZ, kwa
sasa hakuna mwana hip hop bora pande hizi za New York,anayemzidi Kendrick
Lamar, T.I, aliendelea kusema kuwa yeye
kujiita King of NY, ni kitenda cha ujasili sana laikini ni kweli anastahili kujipa
jina hilo.
Alisema kuwa kwa sasa hakuna msanii mwenye mafanikio
ukimtoa JayZ, katika Muziki, ata hivyo nyimbo za msanii huyo zimeshika chati
zaidi NY, kwa kipindi hichi kuliko msanii yoyote Yule, Kendrick anastahili
hicho cheo.
0 maoni:
Post a Comment