Etoo, aliyekuwa mchezaji wa Timu ya Anzhi
Makhachkhala, ya nchini Urusi, jana alidondoka ndani ya Uingereza katika Kikosi
cha Chelsea kinachoongozwa na kocha Jose Mourinho.
Kikosi cha Chelsea kimethibitisha kuwa mchezaji huyo
tayari ni mchezaji wao rasmi kwa mkwanja wa pauni milioni 7, Usajili wa Eto’o unakuja kama mpango
mbadala wa Mourinho kusajili mshambuliaji ambaye amekuwa akimtaka baada ya
kuthibitisha kumkosa Wayne Rooney wa Manchester United ambaye ameamua kubakia
kwenye klabu yake .
0 maoni:
Post a Comment