BOKSA MKONGWE APOTEZA MAISHA AKIWA NA MIAKA 44
Mwana mashumbwi mkongwe ,Tommy Morrison, ameaga Dunia mara baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na Ukimwi.
Kifo hicho kimetangazwa na aliyekuwa Promota wake kipindi chote cha uhai wake, Promota wake alisema kuwa “Morrison had been in the hospital for several months battling an illness ... he wouldn't specify what. He died peacefully, his wife by his side.”
Boksa huyo alijijua kuwa ni mwasilika mnamo mwaka 1996, mara baada ya kujijua tu, aliacha kucheza mchezo huo.
0 maoni:
Post a Comment