Gucci
Mane, amekamatwa leo kwa kosa la kukutwa na Bangi na Bunduki kiyume na sheria,
huko maeneo ya Atlanta, na amefikishwa kituo cha polisi mapema sana Asubuhi ya
leo.
Gucci Mane, jina lake kamili ni Radric Davis,
alifikishwa kituo cha polisi mida ya 12.05 am, asubuhi ya leo mara baada ya
rafiki yake kumsemea kwa polisi kwa tabia yake.
Alipofikishwa katika kituo cha polisi walimkuta na
bagi pamoja na bunduki ndogo, kasha alifikishwa hospital ya karibu, mpaka sasa
inasemekana bado yupo hospital.
0 maoni:
Post a Comment