MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BASI LA YANGA LASHAMBULIWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY.

Basi la YANGA, lavujwa Vioo, na mashabiki wa MBEYA CITY, wakati wakiwa wanaingia katika kiwanja cha Sokoine, mjini mbeya.
Shafih dauda, ameripoti kuwa mpaka sasa hakuna mchezaji wa Yanga aliyeripotiwa kupata majeraha kutokana na shambulio hilo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment