Michuano
ya Ligi kuu ya Vodacom Premier League, katika viwanja vyote, mchezo wa YANGA na
MBEYA CITY, ulimalizika kwa Bao moja kwa moja, wakati Simba wakiwachapa Mtibwa
bao mbili mtungi, huku Kagera na Azam nao walimaliza mpira kwa ushindi wa Bao moja
kwa moja.
Kiufupi michezo yote ilikuwa ni mikali yani ni
yakuvuta kwa kamba, timu zote zilikuwa zimekamia mchezo, kitu ambacho kinaleta
changamoto katika soka nchini hasa timu zilizopanda kucheza ligi kuu.
YANGA 1 –MBEYA CITY 1.
SIMBA 2- MTIBWA 0
KAGERA 1 – AZAM 1.
0 maoni:
Post a Comment