Kampuni inayotengeneza simu ya
Blackberry , imefunguka na kusema kuwa imekubali kuingia mkataba na kampuni ya
Fairfax Financial Holdings, kuiuza kwa thamani ya dola bil 4.7, katika mkataba huo, wawekezaji watapokea kiasi
cha dola 9 moja kwa moja kwa kila shea.
Blackberry
imesema kuwa itaendelea kutafuta namna zingine zinazowezekana wakati mazungumzo
yakiendelea na kampuni hiyo inayoitaka Blackberry.
Kile
kilichosikika mwanzoni kutoka kwa Blackberry, kuwa inataka kupunguza
wafanyakazi wake uwenda kikatokomezwa sambamba na hasara ya ya dola bil 1, kwa
kupitia mkataba huo, kampuni hiyo itajipatia manufaha zaidi na wafanyakazi wake
wote.
0 maoni:
Post a Comment