Magaidi wamevamia tena kituo cha
polisi nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, na wengine wamejeruhiwa vibaya
sana na kufanya uwalibifu wa magari 11, tukio hilo lilikwenda sambamba na
shambulio la soko moja huko nchini Kenya laitwa Wajir, na kusababisha kifo cha
mtu mmoja, hali hii inaweka taifa la Kenya katika wakati mgumu wa kukabiliana
na magaidi hao.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment