Msanii wa nchini Ghana
mwenye makazi yake nchini Uingereza, amewachanganya watanzania katika show yake
iliyofanyika katika viwanja vya Postal Jijini Dar es salaam, pia watu wengi
walionekana kufurahishwa na show hiyo kutokana na kile alichokifanya katika
viwanja hivyo. Tazama picha za show hiyo
the History was going down hapo jana katika viwanja vya Postal Jijini Dra es salaam , Tz. na huyo ndiye ODG, WA nchini Ghana na mambo yake yaliyowapagwawisha wabongo hapo jana. |
0 maoni:
Post a Comment