Bunge lazidi kuwaka moto, leo hii wabunge wa kambi ya upinzani wakiongozwa na Freeman Mbowe, walilazimika kutolewa nje ya ukumbi huo wa bunge ili wapishe mjadala uliokuwa ukiendelea kuhusu marekebisho ya katiba mpya. Hebu tazama hii video inayoonesha tukio zima.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment