Wanasayansi nchini mMarekani, wamedai kugundua chanjo ambayo wanaamini itaweza kuangamiza ambayo itaweza kuangamiza kabisa Virusi vya ukimwa, (VVU)K wa Binadam.wanasayansi hao wameelezea kuwa chanjo hiyo imefanyiwa majaribio kwa Nyani na kufanikiwa kuangamiza virusi vinavyofanana na VVU, waitwao SIV, na sasa wmekusudia kufanya majaribio ya chanjo hiyo kwa Binadam.
Utafiti wao walioufanya ni kuwa kati ya nyani
waliowapa chanjo hiyo 16 na waliopona kabisa walikuwa Tisa (9) maradhi ya SIV,
pia waliendelea kusema kuwa Nyani aliyeambukizwa Virusi hivyo ufa kwa kipindi
cha miaka miwili tu.
Mmoja kati ya watafiti kutoka katika chuo kiku cha
Oregoni, Prof – Lousis Picker, alisema kuwa chanjo hiyo inaelekea kutia moyo
ukilinganisha na chanjo zilizowai kupitia kwa miaka yote.
0 maoni:
Post a Comment