Wakenya walimaliza siku tatu za maombolezi Ijumaa.
Imetimia juma moja kamili tangu jengo la maduka mjini Nairobi
kushambuliwa na watu wengi kuuwawa.
Watu wenye silaha walivamia jengo la Westgate, magharibi mwa
Nairobi, na kwa siku kadha waliendeshana mbiyo na vikosi vya usalama huku
wakifyatua risasi na kuuwa wateja waliokuwamo kwenye maduka hayo, pamoja na
watoto.
Hadi sasa inajulikana kuwa watu 67 waliuwawa.
0 maoni:
Post a Comment