Takriban watu 50 wameuawa kwenye makabiliano kati ya polisi na wafasi wa
Rais aliyeondolewa mamlakani Mohammed Morsi.
Zaidi ya wanachama wengine miambili wa vuguvugu la Muslim
Brotherhood walikamatwa mjini Cairo,ambako vifo vingi zaidi viliripotiwa.
Wafuasi wa Morsi waliandamana katika miji kadhaa kote nchini
Misri, huku jeshi likiadhimisha miaka 40 ya vita vya mwaka 1973 katika ya
waarabu na waisraeli.
Wafuasi wa Morsi wanasema kuwa aliondolewa mamlakani na jeshi
mwezi Julai mwaka huu.
0 maoni:
Post a Comment