VUTA NIKUVUTE GALATASARAY NA SHENHUA
Timu ya shanghai shenhua inadai kuwa Didier drogba
bado mchezaji halali
Wa timu hiyo, kwa mujibu wa timu hiyo ni kuwa timu
ya Galatasaray inakiuka
Mkataba wa mchezaji huyo na timu yake ya sasa.
Mchezaji huyo amesaini mkataba wa mienzi kumi na
minane katika timu ya
Galatasaray wakati nchezaji huyo bado hajamariza
mkataba na timu yake
Ya shenghai.
Timu ya shenghai shenhua imeshangazwa sana na
tangazo hilo la kusainishwa
Kwa mchezaji wao, pia timu hiyo imesisitiza kuwa
Drogba bado mchezaji wao.
Shenhua imekanusha uwamisho huo na kusema kuwa wako
tayari kuwasilisha
Malalamiko yao kwa shirikisho la soka dunian, FIFA.
0 maoni:
Post a Comment