WAASI WATAWANYIKA NCHINI MALI
Waziri wa ulinzi nchini Ufaransa, Jean Yves Le
Drian,amesema wiki tatu za
Mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa kiisilamu,
zimewaacha wapiganaji
Hao wakiwa wametawanyika wasijue la kufanya.
Wazir huyo amesema wapiganaji hao wametoroka mali,
wakati wengene
Wakitorokea maeneo ya milimani baada ya kushindwa
vita.
Pia amesisitiza kuwa vita dhidi ya wapiganaji hao
waliotokea maeneo ya
Kaskazini mwa mali, bado vitaendelea na athari kwa
jeshi bado zitaendelea.
0 maoni:
Post a Comment