SERIKALI YA ZIMBABWE YAFILISIKA.?
Wazir wa Fedha wa zimbabwe, Tendai Biti amesema
kwamba
Wiki iliyopita nchi hiyo ilifikia mahali ambapo
ilikuwa na dola
217 tu katika akaunti yake ya umma, baada ya
kuwaripa-
Wafanyakazi wa serikli.
Hata hivyo dola milion 30 za mapato ziliingia siku
iliyopita
Waziri huyo anasema kuwa ameamua kufichua haya ili
kusisitiza
Kwamba serikali haina pesa ya kugharamia uchaguzi,
lakini siyo
Kwamba ilikuwa imefilisika.
Uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika
mwaka huu
Ambapo chama cha rais mugabe cha Zanu –PF,
kikipambana na
Chama cha Bwana Biti cha movement for democratic
change.
0 maoni:
Post a Comment