RAIS WA UFARANSA KUZURU MALI
Rais wa ufaransa Francois Hollannde anatarajiwa
kuzuru nchini Mali,
Ambako makabiliano ya wiki tatu kati ya waasi na
wanajeshi yakiendelea.
Waasi hao walipata pigo kubwa mara baada ya
mashambulizi ya anga dhidi
Yao yaliyowafanya kusambalatika na kutoroka.
Rais huyo wa Ufaransa anatakwenda katika mji wa
Bmako kukutana na
Rais wa mpito Dioncounda Traore.
0 maoni:
Post a Comment